Junior Stars Kutafuta Tiketi ya AFCON U-17 Kundi Gumu la CECAFA
Timu ya taifa ya Kenya ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17, Junior Stars, imepangwa katika kundi ‘A’ la michuano ya kufuzu kwa Kombe la Bara Afrika kwa wachezaji wa umri huo (AFCON U-17) kwa ukanda wa CECAFA, kufuatia droo iliyofanyika leo jijini Kampala, Uganda. Kenya itachuana na Ethiopia ambao ni wenyeji wa mashindano hayo, […]
Read More