Shabiki Aliyefariki Kwenye Tamasha la Asake Azikwa Laikipia
Mwili wa Karen Lojore, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Daystar mwenye umri wa miaka 20 aliyefariki dunia kufuatia mkanyagano uliotokea wakati wa tamasha la msanii wa Afrobeats Asake katika Uwanja wa kitaifa wa Nyayo, umezikwa rasmi leo nyumbani kwao Laikipia. Hafla ya mazishi ilifanyika katika mazingira ya huzuni mzito huku ikihudhuriwa na wanafamilia, marafiki wa […]
Read More