KBL Yatangaza Udhamini wa Milioni 40 kwa Mashindano ya HSBC Sevens Nairobi
Kampuni ya Kenya Breweries Limited; KBL, imetangaza udhamini wa kitita cha shilingi milioni 40 kwa mashiandano yajayo ya raga ya HSBC Sevens Nairobi, huku Kenya ikijitayarisha kuandaa mashindano hayo ya kimataifa ya Dunia kwa mara ya kwanza. Michuano hiyo itakayoandaliwa tarehe 14 na 15 mwezi ujao katika Uwanja wa Nyayo, yataifanya Kenya kuwa taifa la […]
Read More