Police FC Yavuna Alama Tatu Baada ya Kuigonga Tusker 2-1
Timu ya Kenya Police FC ilijipatia ushindi baada ya kuilaza Tusker FC kwa mabao 2-1 katika mchuano wa Ligi Kuu ya FKF uliochezwa katika uwanja wa Ruaraka. Police FC ilijipatia bao la kwanza kupitia mchezaji Erick Zakayo kwenye dakika ya 13. Ubabe wao ulizaa matunda tena katika dakika 30 baada ya David Simiyu kufunga bao […]
Read More