King Tizian Anunua Audi S7, Asema Yeye Ndiye Mkenya wa Kwanza Kumiliki Gari Hilo
Tiktoker kutoka Kenya, King Tizian ameibua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa yeye ndiye Mkenya wa kwanza kumiliki gari la kifahari aina ya Audi S7 4.0L V8 yenye thamani ya shillingi millioni 14. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, King Tizian ameshiriki picha na video akionyesha gari hilo la kifahari huku akieleza furaha yake […]
Read More