Naibu Rais Kithure Kindiki Atoa Msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa Watoto wa Marehemu Betty Bayo
Naibu Rais wa Kenya, Kithure Kindiki, ameahidi kutoa msaada wa shilingi milioni tano kuwasaidia watoto wa marehemu mwimbaji wa injili Betty Bayo, aliyezikwa leo katika eneo la Mugumo Estate, Kaunti ya Kiambu. Akihutubia waomboleza katika ibada ya mazishi, Kindiki amesema kuwa mara tu akaunti ya watoto hao itakapofunguliwa rasmi, atawasilisha msaada huo bila kuchelewa ili […]
Read More