Kush Tracy: Nilitumia Pombe na Mihadarati Wiki Nzima

Kush Tracy: Nilitumia Pombe na Mihadarati Wiki Nzima

Msanii aliyeacha muziki wa kidunia na kugeukia Injili, Kush Tracy, amefunguka kuhusu maisha yake ya nyuma akieleza kuwa aliwahi kuishi kwenye uraibu wa pombe na matumizi ya mihadarati kwa kipindi kirefu kabla ya kubadili mwelekeo wa maisha na kuokoka. Kupitia podcast ya Mwakideu Live, Kush Tracy amesema kulikuwa na kipindi ambacho aliweza kunywa pombe na […]

Read More
 Msanii Kush Tracey Aadhimisha Miaka 3 ya Kuacha Pombe na Dawa za Kulevya

Msanii Kush Tracey Aadhimisha Miaka 3 ya Kuacha Pombe na Dawa za Kulevya

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Kush Tracey, amesherehekea kutimiza miaka mitatu bila kutumia pombe wala dawa za kulevya, akifichua kuwa safari yake ilichochewa na uamuzi wake wa kugeukia dini. Kupitia ujumbe alioweka kwenye mitandao ya kijamii, Kush Tracey amesema kuwa siku ya leo miaka mitatu iliyopita alichukua uamuzi wa kutotumia kabisa pombe, sigara, vapes/sheesha, bangi, […]

Read More