Beki wa England Kyle Walker Aaga Rasmi Soka ya Kimataifa
Beki wa pembeni wa Uingereza, Kyle Walker, ametangaza kustaafu rasmi kucheza soka ya kimataifa baada ya kutumikia timu ya taifa kwa zaidi ya muongo mmoja. Walker, ambaye kwa sasa ni mchezaji wa Burnley na ana umri wa miaka 35, amecheza mechi 96 na kushiriki michuano mikubwa mitano akiwa na jezi ya Three Lions. Walker aliichezea […]
Read More