Msanii Lydia Jazmine Asema Hataki Mahusiano Kwa Muda
Msanii wa muziki kutoka Uganda Lydia Jazmine amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia suala la mapenzi baada ya kupitia kipindi kigumu cha maisha yake kwenye mahusiano yake ya awali. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni, Jazmine amesema kuwa hataishi mwaka mzima bila kuwa na mpenzi hadi pale atakapompata mwanaume wa ndoto yake. Amesema kuwa hajakata tamaa […]
Read More