Mdau wa Burudani Awataka Watanzania Kuwasamehe Wasanii Waliojihusisha na Siasa

Mdau wa Burudani Awataka Watanzania Kuwasamehe Wasanii Waliojihusisha na Siasa

Mdau wa burudani nchini Tanzania, Majizzo, ametoa wito kwa wananchi kuwasamehe wasanii waliowahi kujihusisha na siasa, akisema ni muhimu kurejesha mshikamano kati ya mashabiki na tasnia ya sanaa. Kwa mujibu wa mdau huyo, sekta ya sanaa na burudani imeajiri vijana wengi na imekuwa chanzo kikuu cha kipato kwa familia nyingi. Hivyo, kususia shughuli za burudani […]

Read More