Meneja wa Mama Amina Akanusha Vikali Video ya Faragha Inayosambaa Mtandaoni
Meneja wa msanii Mama Amina, DJ Pacheko Midundo, amejitokeza hadharani kumkingia kifua msanii wake kufuatia kusambaa kwa video ya faragha mtandaoni inayodaiwa kumhusisha Mama Amina na mwanaume mmoja. Akizungumza kuhusu sakata hilo, Pacheko amekanusha vikali madai hayo akisisitiza kuwa video hiyo si ya Mama Amina, bali imebuniwa makusudi na baadhi ya watu kwa lengo la […]
Read More