Meta Yafuta Akaunti ya Instagram ya Mwanaharakati wa Tanzania Mange Kimambi
Kampuni ya Meta imefuta rasmi akaunti ya Instagram inayomilikiwa na mwanaharakati wa Marekani mwenye asili ya Tanzania na mkosoaji mkali wa serikali ya Rais Samia Suluhu, Mange Kimambi. Mange amedai kuwa alipoteza kabisa akaunti yake yenye wafuasi zaidi ya milioni 2.7 siku ya Jumatano, Desemba 3, akisema hakuna dalili za kurejeshwa. Aidha, ameeleza kuwa amepigwa […]
Read More