Mangi Kimambi Ataka Watanzania Kususia Shows za Wasanii Waliounga Mkono Rais Samia Hassan

Mangi Kimambi Ataka Watanzania Kususia Shows za Wasanii Waliounga Mkono Rais Samia Hassan

Mwanaharakati maarufu wa Tanzania Mangi Kimambi ametoa wito kwa Watanzania kususia maonyesho na matamasha ya wasanii wanaoonekana kuunga mkono serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kupitia mitandao ya kijamii, Mangi amesema wasanii hao wamekuwa wakikaa kimya au hata kuwatetea viongozi licha ya wananchi kukabiliana na changamoto nyingi ikiwemo ukandamizaji wa haki za kiraia na vurugu […]

Read More