Videon Vixen wa Vaileti ya Matonya Aomba Msaada wa Kujinasua Umaskini

Videon Vixen wa Vaileti ya Matonya Aomba Msaada wa Kujinasua Umaskini

Mwanadada aliyewahi kuwa video vixen kwenye wimbo wa Matonya wa Vaileti amefunguka kuhusu changamoto zinazomkabili baada ya kujitokeza wazi na kuomba msaada wa kujinasua kutoka kwenye lindi la umaskini. Akizungumza kwenye mahojiano hivi karibuni, ameeleza kuwa ushawishi wa marafiki na makundi mabaya ulimpelekea kupoteza mwelekeo wa maisha na kujikuta akipambana na hali ngumu kiuchumi kutokana […]

Read More