Mauru Gwash Asema Uvamizi wa Kiamaiko sio wa Muziki

Mauru Gwash Asema Uvamizi wa Kiamaiko sio wa Muziki

Memba wa kundi la 34 Brick kutoka mtaa wa Eastlands, Mauru Gwaash, amefunguka baada ya kushambuliwa pamoja na wasanii wa kundi hilo rapa Toxic Lyrikali na Oush katika eneo la Kiamaiko, Nairobi. Kupitia Instastory yake, Mauru amesema kuwa tukio hilo halihusiani kwa namna yoyote na makundi ya muziki ya Buruklyn Boyz wala Wakadinali, licha ya […]

Read More