MC Kats Ataka Eddy Kenzo Kukamatwa kwa Tuhuma za Wizi
Mtangazaji maarufu nchini Uganda, MC Kats, ametaka msanii Eddy Kenzo kukamatwa na kuwajibishwa kufuatia tuhuma nzito za madai ya wizi na matumizi mabaya ya fedha zilizokuwa zimetengwa kusaidia wasanii. MC Kats anadai kuwa Eddy Kenzo, ambaye pia ni kiongozi wa shirikisho la wasanii Uganda, alitumia vibaya fedha za serikali zilizotolewa kwa ajili ya kuwainua wasanii […]
Read More