Mwenyekiti wa Washereheshaji Dodoma Akanusha Uvumi Kuhusu Kifo cha MC Pilipili
Mwenyekiti wa Washereheshaji Mkoa wa Dodoma Meshack Sudai amekanusha vikali taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa watu waliodai kuwa ndugu wa marehemu MC Pilipili, wakisema kuwa mwili wa mchekeshaji huyo umepatikana na majeraha mabaya. Akizungumza jana, Sudai amesema taarifa hizo si za kweli na kwamba familia ya marehemu haijatoa tamko lolote rasmi hadi […]
Read More