MC Pilipili Azikwa katika Makaburi ya Kilimo Kwanza, Dodoma
Mchekeshaji na mshereheshaji wa matukio Emmanuel Mathias Matebe, maarufu kama MC Pilpili, amepumzishwa kwenye nyumba yake ya milele katika makaburi ya Kilimo Kwanza jijini Dodoma leo, Novemba 20, 2025. Mamia ya waomboleza, wakiwemo wasanii, ndugu, marafiki na viongozi wa dini, walijitokeza kumuaga mchekeshaji huyo aliyekuwa akipendwa na wengi kutokana na kipaji chake cha kuiburudisha jamii. […]
Read More