Meta Yaanza Kutumia Chat za AI Kwenye Matangazo

Meta Yaanza Kutumia Chat za AI Kwenye Matangazo

Kampuni ya Meta imetangaza mabadiliko mapya yanayoanza kutumika Desemba mwaka huu, ambayo yataathiri watumiaji wa Instagram, Facebook na WhatsApp kote duniani isipokuwa katika nchi za Umoja wa Ulaya na Uingereza. Kwa mujibu wa Meta, data za mazungumzo unayofanya na Meta AI, ikiwemo pale unapoitumia kutafuta taarifa, kuomba muhtasari wa chat, kuuliza kuhusu bidhaa, au kutuma […]

Read More