TikToker Mjaka Mfine Atangaza Rasmi Kutafuta Mwanaume Rijali

TikToker Mjaka Mfine Atangaza Rasmi Kutafuta Mwanaume Rijali

TikToker kutoka Kenya, Mjaka Mfine, amekiri kuchoshwa na maisha ya upweke, hatua iliyomfanya kutangaza rasmi kuanza mchakato wa kumtafuta mwanaume rijali atakayempa mapenzi ya dhati. Kupitia video inayotembea mtandaoni, Mrembo huyo amesema yuko tayari kuingia kwenye uhusiano wa kweli na anahitaji mwanaume atakayemhudumia, kumjali na kumuonyesha upendo wa dhati bila maigizo. Ameeleza kuwa kwa sasa […]

Read More
 Mjaka Mfine Akanusha kutoka Kimapenzi na Mokaya

Mjaka Mfine Akanusha kutoka Kimapenzi na Mokaya

Content creator kutoka Kenya Mjaka Mfine amevunja ukimya na kukanusha madai yanayoendelea mtandaoni kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na rafiki yake aitwaye Mokaya. Akizungumza katika mahojiano na Shiksha Arora, Mrembo huyo amefafanua kuwa madai hayo hayana msingi na kwamba uhusiano wao uko kwenye misingi ya kazi pekee. Mjaka amesema kuwa yeye na Mokaya wamekuwa wakifanya […]

Read More