Mke wa Mkubwa Fella Awajibu Waliomsema Vibaya Mume Wake
Mke wa Mkubwa Fella amejibu vikali watu waliomsema vibaya mume wake wakati alipokuwa akipitia kipindi kigumu cha kiafya. Kupitia instastory yake, mwanamama huyo amechapisha video inayoonyesha yeye na Mkubwa Fella wakifurahia kinywaji, huku hali ya Mkubwa Fella ikionekana kuimarika na kuwa nzuri. Katika video hiyo, wawili hao wameonekana wakiwa na furaha na tabasamu, ishara iliyowafanya […]
Read More