Mwanablogu wa Kenya Ataka Wazazi kuwa Wabunifu Wanapowapa Watoto Majina

Mwanablogu wa Kenya Ataka Wazazi kuwa Wabunifu Wanapowapa Watoto Majina

Mwanablogu, Murugi Munyi, amewashauri Wakenya kuwa wabunifu zaidi wanapowapa watoto wao majina, akisema majina kama Ethan, Jayden, na Michelle sasa yamezoeleka sana nchini humo. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii, Murugi amesema kuwa ni wakati wazazi wa kizazi kipya wawe na ubunifu zaidi badala ya kurudia majina yale yale ambayo yamekuwa yakitumika kwa miongo […]

Read More