Kings Music Records Yafungua Ukurasa Mpya kwa Kumsajili Msanii wa Kike
Lebo ya muziki Kings Music Records inayoongozwa na gwiji wa Bongo Flava Alikiba imemtambulisha rasmi msanii wake mpya Mutima Wangu, mwenye asili ya Rwanda, hatua inayofungua ukurasa mpya katika historia ya lebo hiyo. Kupitia ujumbe aliouchapisha mitandaoni, Alikiba ameeleza fahari yake kwa kumsajili msanii huyo wa kike, akisisitiza kuwa ni nyota mpya mwenye dhamira ya […]
Read More