Msanii Kings Music Mutima Akataa Kushiriki Mapenzi kwa Miaka 5
Msanii mpya wa lebo ya Kings Music mwenye asili ya Rwanda, Mutima, amesema hataki kabisa kusikia masuala ya mapenzi katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza katika kipindi cha Friday Night Live, Mutima amesema licha ya kuwa single, ameamua kuelekeza nguvu na muda wake wote katika muziki wake. Amefafanua kuwa mapenzi yanaweza kuvuruga umakini na […]
Read More