Nairobi United Itashuka Dimbani Dhidi ya Azam Jumapili
Nairobi United itashuka dimbani Jumapili hii dhidi ya Azam FC ya Tanzania kwenye mechi ya hatua ya makundi ya Kombe la Mashirikisho katika Uwanja wa Taifa wa Nyayo. Nai Boys, ambao wanashiriki kwa mara ya kwanza katika michuano ya bara Afrika, wanatafuta ushindi wao wa kwanza baada ya matokeo mchanganyiko katika mechi mbili za ufunguzi. […]
Read More