Matumizi ya Bangi Yamponza Mrembo wa Kenya

Matumizi ya Bangi Yamponza Mrembo wa Kenya

Influencer kutoka Kenya, Naomi Kuria, amefichua kuwa matumizi ya bangi yalimsababishia hasara kubwa baada ya kupoteza dili la ushawishi (influencing deal) lenye thamani ya shilingi 600,000 za Kenya. Akipiga stori na Oga Obinna, Naomi amesema kuacha kutumia bangi halikuwa jambo rahisi, huku akikiri kuwa matumizi hayo yalimuathiri kwa kiwango kikubwa katika maisha yake ya kila […]

Read More