Posta Rangers Yafufua Makali kwa Kuilaza BIDCO United 1-0
Posta Rangers imevunja msururu wa mechi nne bila ushindi, baada ya kuibwaga Bidco United kwa bao moja bila majibu kwenye mchuano wa Ligi Kuu ya Kenya uliochezewa uwanjani Moi Kasarani Annex, jijini Nairobi. Bao hilo la pekee lilipachikwa wavuni dakika ya 30 na Brian Otieno, na likatosha kuihakikishia Rangers alama zote tatu muhimu. Bidco United […]
Read More