Pritty Vishy Atishia Kumshushia Stevo Simple Kipigo cha Mwaka

Pritty Vishy Atishia Kumshushia Stevo Simple Kipigo cha Mwaka

Mrembo wa mitandaoni Pritty Vishy ametishia kumshushia kipigo cha mwaka msanii Stevo Simple Boy baada ya kukasirishwa na madai yaliyoibuliwa na msanii huyo kuwa amefanya upasuaji wa kuongeza makalio (BBL). Katika ujumbe wake Instastory, Pritty amewataka mashabiki wasimlaumu endapo atachukua hatua ya kumuadhibu Stevo Simple Boy, akisisitiza kuwa amechoshwa na tuhuma zinazomhusisha na masuala ya […]

Read More