Manchester United Yamfuta Kazi Ruben Amorim
Klabu ya Manchester United imetangaza rasmi kumfuta kazi Meneja Ruben Amorim kufuatia msururu wa matokeo yasiyoridhisha, ikiwa ni miezi 14 tu tangu achukue mikoba ya kuinoa timu hiyo. Katika taarifa iliyotolewa na Manchester United, imeelezwa kuwa kiungo wa zamani wa klabu hiyo, Darren Fletcher, ambaye alikuwa akihudumu kama Mkurugenzi wa Ufundi, ameteuliwa kushika nafasi ya […]
Read More