Mahakama Yakataa Kuondoa Video ya Utata ya Robert Burale

Mahakama Yakataa Kuondoa Video ya Utata ya Robert Burale

Mhubiri mwenye utata nchini Kenya Robert Burale amepata pigo kubwa baada ya mahakama ya Nairobi kukataa ombi lake la kutaka mahojiano ya video yaliyofanywa na mke wake wa zamani, Rozina Mwakideu, yafutwe na kuondolewa kwenye mitandao ya kijamii. Katika uamuzi uliotolewa Jumanne,Mahakama imekataa ombi hilo la kuondoa video hiyo mtandaoni, lakini ikaamuru Rozina na Alex […]

Read More