Shakib Cham Ataka Pambano la Marudiano na Rickman Manrick Baada ya Knockout Kali
Mume wa mfanyabiashara na staa wa mitandao ya kijamii Zari Hassan, Shakib Cham, ametangaza nia ya kutaka kupambana tena ulingoni na msanii Rickman Manrick kufuatia pambano lao la ngumi lililomalizika kwa ushindi wa Rickman kwa knockout ya kutisha. Licha ya kushindwa vibaya, Shakib Cham ameweka wazi kuwa hana hofu wala nia ya kujiondoa kwenye ndondi. […]
Read More