Mume wa Zari Hassan Ahusishwa na Wizi na Shambulio Kampala
Mume wa mfanyabiashara na staa wa mitandao ya kijamii Zari Hassan, Shakib Chams, anadaiwa kuhusishwa na tukio la wizi na shambulio lililotokea katika baa moja jijini Kampala, Uganda. Kwa mujibu wa msemaji wa Polisi wa Kabalagala, Shakib aliongoza kundi la wahuni waliowavamia wateja wa baa hiyo, ambapo inadaiwa waliwajeruhi vibaya na kuwaibia simu za mkononi […]
Read More