Shazam Sasa Yapachikwa Ndani ya ChatGPT

Shazam Sasa Yapachikwa Ndani ya ChatGPT

Teknolojia ya kutambua nyimbo ya Shazam sasa imeunganishwa rasmi ndani ya ChatGPT, hatua inayolenga kurahisisha zaidi namna watumiaji wanavyotambua na kufurahia muziki kupitia simu zao. Kupitia kipengele hiki kipya, watumiaji wa ChatGPT wanaweza kusema “Shazam wimbo huu” au kuuliza “Huu ni wimbo gani?”, na mfumo utaanza kutumia microphone ya simu kusikiliza wimbo unaochezwa. Baada ya […]

Read More