Sho Madjozi Aeleza Wasiwasi Kuhusu Hali Tanzania

Sho Madjozi Aeleza Wasiwasi Kuhusu Hali Tanzania

Msanii nyota kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi, ameonyesha wasiwasi wake kuhusu hali ya mawasiliano na hali ya kisiasa nchini Tanzania, akisema kuwa tangu jana hajafanikiwa kuwasiliana na marafiki zake walioko nchini humo. Sho Madjozi amesema kuwa amehisi hofu kubwa kutokana na hali ya ukosefu wa mawasiliano, huku akisisitiza upendo wake kwa Tanzania na watu wake. […]

Read More