Sony na TCL Waungana Rasmi Kwenye Biashara ya TV
Kampuni kubwa za teknolojia duniani, Sony na TCL, zimetangaza kuingia katika ushirikiano rasmi kwenye biashara ya televisheni na vifaa vya burudani vya nyumbani, ikiwemo speakers, home theaters na mifumo ya sauti. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, TCL itakuwa na umiliki mkubwa wa hisa katika ushirikiano huo kwa asilimia 51, hatua inayoiweka kampuni hiyo ya China […]
Read More