Trump Achukizwa na Mzaha wa Trevor Noah Grammy

Trump Achukizwa na Mzaha wa Trevor Noah Grammy

Rais wa Marekani Donald Trump ameonyesha kuchukizwa na mzaha uliotolewa na mchekeshaji Trevor Noah wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo za Grammy zilizofanyika usiku wa kuamkia leo. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wake wa Truth Social, Trump amekanusha madai yaliyoibuliwa na mshereheshaji wa hafla hiyo Trevor Noah aliyefanya mzaha kuwa Rais Trump na aliyekuwa […]

Read More