Tyla Aandika Historia Tena kwa Kutwaa Grammy
Msanii wa kimataifa kutoka Afrika Kusini, Tyla, ameendelea kuandika historia katika muziki wa Afrika baada ya kutwaa tuzo ya Grammy kupitia wimbo wake “Pusha 2 Start” katika kipengele cha Best African Performance. Tyla aliwashinda wasanii wakubwa barani Afrika akiwemo Davido, Ayra Starr aliyeshirikiana na WizKid katika wimbo “Gimmie Dat”, Burna Boy kupitia wimbo “Love”, pamoja […]
Read More