Mtoano Ligi ya Mabingwa Waanza leo Barani Ulaya

Mtoano Ligi ya Mabingwa Waanza leo Barani Ulaya

Mkondo wa kwanza wa mechi nane za hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya unatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo na kesho, huku michezo ya marudiano ikipangwa kuchezwa Jumanne na Jumatano ijayo. Katika ratiba ya leo, mabingwa wa Uturuki Galatasaray watawakaribisha vigogo wa Italia Juventus katika dimba la Rams Park, Uturuki. Wakati huo huo, […]

Read More