Upendo Nkone Atoa Wito wa Tumaini na Msamaha Kuelekea Mwaka Mpya 2026
Msanii wa muziki wa Injili, Upendo Nkone, amewahamasisha mashabiki na waumini kuhitimisha mwaka kwa furaha, amani na uchangamfu, akisisitiza umuhimu wa kujisamehe na kuanza upya bila lawama. Katika ujumbe wake wa mwisho wa mwaka, Upendo amewataka watu wajisamehe kwa makosa waliyofanya wao wenyewe pamoja na malengo ambayo hawakuweza kuyatimiza katika mwaka unaoisha wa 2025. Amesisitiza […]
Read More