John Korir na Joyceline Jepkosgei Washinda Marathoni ya Valencia 2025
Wanariadha wa humu nchini John Korir na Joyceline Jepkosgei waliibuka washindi wa mbio za marathoni za Valencia kwa upande wa wanaume na wanawake mtawalia wakati wa mbio hizo zilizoandaliwa leo jijiniValencia,Uhispania. John aliandikisha muda wa saa mbili na dakika mbili na sekunde 24 na kumpiku Amanal Petros wa Ujerumani na Awet Kibrab wa Norway waliomaliza […]
Read More