Vindee Aomba Radhi Baada ya Kudai Ana Ukaribu na IShowSpeed
Prankster kutoka Kenya Vindee ameomba radhi Wakenya baada ya kudai awali kuwa alikuwa katika mawasiliano na staa wa mitandao ya kijamii, IShowSpeed, kuhusiana na ziara yake nchini humo. Kupitia taarifa rasmi aliyotoa mtandaoni, Vindee amesema lengo lake halikuwa kuwapotosha watu wala kutafuta kiki, akisisitiza kuwa ni mzaha uliotoka nje ya muktadha uliokusudiwa. Ameongeza kuwa licha […]
Read More