Viongozi wa Michezo Afrika Wakutana Nairobi Kujadili Vita dhidi ya Dawa za Kulevya

Viongozi wa Michezo Afrika Wakutana Nairobi Kujadili Vita dhidi ya Dawa za Kulevya

Shirika la kukabiliana na utumizi wa dawa za kusisimua misuli michezoni WADA likishirikiana na shirika la kukabiliana na utumizi wa dawa za kusisimua misuli michezoni humu nchini  limezindua  wakfu wa siku mbili wa kanda ya tano Afrika kuhusu vita dhidi ya utumizi wa dawa zilizoharamishwa michezoni. Wakfu huo ambao huleta pamoja maafisa wa kuthibiti utumizi […]

Read More