Wastara Juma Aapa Kupigania Penzi lake na Dudu Baya
Mwigizaji nyota wa filamu za Bongo, Wastara Juma, amewatolea uvivu watu wanaoponda na kudharau uhusiano wake na mwanamuziki mkongwe wa Bongo Flava, Dudu Baya. Akiwa amechoshwa na maneno ya kashfa, Wastara ameapa kulilinda penzi hilo kwa nguvu zake zote, akisisitiza kuwa Dudu Baya ni mwanaume kama walivyo wanaume wengine na ana haki ya kupendwa na […]
Read More