Weasel Ashangaza Umma Baada ya Kudai Mozey Radio Alistahili Kufariki
Msanii wa muziki kutoka Uganda Weasel Manizo ameibua taharuki mitandaoni baada ya kutoa kauli tata kuhusu aliyekuwa rafiki wake wa karibu, Mozey Radio, aliyefariki minane iliyopita. Katika majibizano na wafuasi wa NUP mtandaoni, Weasel alijibu shabiki aliyemshutumu kuhusika na kifo cha Radio kwa maneno makali akidai kifo hicho kilikuwa kinastahili na kwamba hana majuto. Kauli […]
Read More