Baby Mama wa Bahati Avishwa Pete ya Uchumba na Mwanaume wa Ndoto Yake

Baby Mama wa Bahati Avishwa Pete ya Uchumba na Mwanaume wa Ndoto Yake

Baby Mama wa mwanamuziki Bahati, Yvette Obura, ametangaza rasmi kuwa amevishwa pete ya uchumba na mwanaume anayemuita zawadi kutoka kwa Mungu. Kupitia video aliyoshiriki mtandaoni, Yvette amesema amekubali kuolewa na mwanaume aliyemfanya aamini tena katika upendo, akisema kuwa baada ya kupitia maumivu ya zamani na mahusiano yaliyoshindikana, sasa ameona upendo wa kweli. Mama huyo wa […]

Read More