
Mwanamuziki kutoka Marekani Taylor Swift ameandika rekodi kubwa kwenye chati za Billboard.
Taylor Swift amekuwa msanii wa kwanza kuwahi kukamata namba 1 kwenye chart zote za Billboard kwa wakati mmoja.
Wimbo wake wa All Too Well pamoja na album yake mpya Red, Taylor’s Version vimetawala chati za Billboard 200, Global 200, Global Excel. US, Billboard Hot 100, Artist 100, Hot 100 Songwriters na Hot 100 Producers.