Entertainment

TRAVIS SCOTT NA LIVE NATION WAFUNGULIWA MASHTAKA KUFUATIA VIFO VYA MASHABIKI

TRAVIS SCOTT NA LIVE NATION WAFUNGULIWA MASHTAKA KUFUATIA VIFO VYA MASHABIKI

Travis Scott pamoja na kampuni ya Live Nation wamefunguliwa mashtaka na shabiki mmoja ambaye alijeruhiwa kwenye tamasha la Astroworld Music Festival ambalo lilipelekea pia vifo vya watu takribani 11 na wengi kujeruhiwa.

Shabiki huyo ambaye alikuwa sehemu ya majeruhi amefungua mashtaka hayo akidai fidia ya ($1 million) zaidi ya shillingi millioni 111.2 za Kenya.

Aidha Drake naye amejumuishwa kwenye shauri hilo, kama utakumbuka alipandishwa stejini na kutumbuiza pamoja na Travis Scott.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *