Entertainment

RINGTONE ANUNUA SAA YA KIFAHARI AINA RICHARD MILLE WATCH YENYE THAMANI YA SHILLINGI MILLIONI 60.

RINGTONE ANUNUA SAA YA KIFAHARI AINA RICHARD MILLE WATCH YENYE THAMANI YA SHILLINGI MILLIONI 60.

Imekuwa kawaida sasa kwa mastaa Duniani kumwaga mamilioni ya pesa hasa kwenye vito vya thamani, magari pamoja na majumba ya kifahari

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Ringtone ameamua kuzitumia ipasavyo pesa anazozikeshea na kuzitolea jasho.

Mkali huyo wa “Sisi ndio tuko” ametumia kiasi cha zaidi ya shillingi milioni  60 za Kenya kununua saa mpya aina ya Richard Mille Watch.

Hii ni Kwa mujibu wa risiti ya ununuzi wa saa hiyo ambayo aliishare kwenye insta story yake kwenye mtandao wa Instagram.

Ringtone anaungana na mastaa kama Davido, Drake, Jay Z, Kanye West  ambao hupendelea kuvaa saa za aina ya  Richard Mille Watch

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *