
Baada ya kutangaza mwenyewe kuvuja kwa mkanda wa Video yake ya ngono ikumuonesha akiwa n mpenzi wake wa sasa, mwanamuziki wa kike kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage sasa amebainisha kuwa hamtoweza kuziona tena video zake za ngono.
Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram na kauli aliyo izungumza wakati wa performance yake huko nchini Nigeria imebainisha hilo, huku baadhi ya watu wakiielezea kuwa ameitumia jambo hilo kama Kiki kwa ajili ya kutangaza wimbo wake mpya wa Somebody’s Son alio mshirikisha msanii wa Marekani, Brandy.