Tiwa Savage Amwaga Machozi Akiwa Jukwaani Akitumbuiza Wimbo wa “Somebody’s Son”
Staa wa muziki wa Nigeria, Tiwa Savage, amegusa hisia za mashabiki baada ya kumwaga machozi alipokuwa akitumbuiza wimbo wake Somebody’s Son akishirikiana na Brandy, wakati wa onesho lililofanyika nchini Benin. Kwa mujibu wa video zinazosambaa mitandaoni, Tiwa alionekana akisimama kwa muda katikati ya uimbaji wake, huku akishindwa kuendelea kuimba kutokana na hisia kali zilizomvaa. Hatua […]
Read More